OneNote API

API za OneNote za kazini na shuleni sasa zinapatikana
pamoja na ujumuishaji wa Microsoft Graph.

Kwa Windows, Windows Phone, iOS, Mac, Android na Wavuti

OneNote API

jifunze

marejeleo ya api

Uwekaji kumbukumbu ingiliani hukusaidia kuanza na OneNote APIs kwa haraka.

uwekaji kumbukumbu

Rasilimali za MSDN zinajumuisha mafunzo na nyenzo nyingine za marejeleo ambazo zinakusaidia kuelewa ndani na nje ya OneNote API.

sampuli za msimbo

Akaunti yetu ya GitHub ina sampuli za msimbo wa Android, Windows, na kila kitu katikati.

video

Mfululizo wa OneNote Development katika Channel9 hukutembeza katika kufungamana programu yako kwa OneNote.

jamuiya

blogu

Unaweza kupata maelezo yote ya sasa katika vipengele vinavyochipuka na huduma ya ukuzaji kupitia blogu yetu.

twitter

Je, machapisho ya blogu ni marefu sana kwako? Pata kiini cha mambo kupitia akaunti yetu ya Twitter.

stack overflow

Sote tumetumia Stack Overflow. Sasa unaweza kupata maswali yako kuhusu OneNote APIs yyaliyojibuiwa hapo pia.

toa majibu

Je, una pendekezo zuri kwa API? Je, unataka kupata yaliyomo zaidi kwenye ramani zetu za barabara? Tazama ukumbi wetu wa UserVoice.